INA SEBULE MBILI... MOJA MABYO NI TV ROOM NA YA PILI NI SITTING ROOM.. HII JUU NDIO TV ROOM NA CHINI NI SITTING ROOM
CHUMBA ANACHOLALA WEMA SEPETU.. KUNA DRESSING TABLE MBILI... MASSAGE CHAIR PAMOJA NA MINI SALOON
CHUMBA AJILI YA VIATU NA NGUO.. MINI HOUSE WARDROBE ROOM |
SEHEMU MAALUM YA KUFANYIA INTERVIEWS NA MEDIA HOUSE MBALI MBALI KAMA UMUONAPO HAPO PICHANI AKIFANYA INTERVIEW NA ZAMARADI
THIS IS A SMALL SET UP FOR INTERVIEWS WITHIN HER HOUSE.
LIVING A DREAM | SHUKRANI ZA DHATI KWA MENEJA WAKE MK KWA KAZI KUBWA ANAYOIFANYA | ||||
No comments:
Post a Comment